Picha | Nicki Minaj Na Future Waungana Kukamilisha Hili

Huenda rapa Future akaendelea kuwa miongoni mwa wanahiphop wanaosikilizwa zaidi katika kipindi hiki kufuatia jina lake kuwepo kwenye ngoma kibao alizoshirikishwa ukiachilia mbali zake ambazo amekua akiachia non-stop, Huku ngoma yake Draco ikiendelea kufanya poa mnyamwezi Future anazo albamu mbili sokoni, Collabo mpya na mwandada Ariana Grande, 
Goodnews kwa mashabiki wa Nicki Minaj ni kwamba Diva wenu yuko kwenye utengenezaji wa video ya ngoma yake na rapa Future.

Cheki Picha Zote Nimekuwekea Hapa.