Makonda: Nipo tayari kufa! awataja mastaa wanadaiwa kutumiwa dawa za kulevya na kuwataka wakutane Polisi.


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda aitaja list ya mastaa ambao wanadaiwa kutumia dawa za kulevya na kuwataka wakutane kituo cha Polisi, akiwemo TID, Wema Sepetu, Chid Benz, Recho, Mr Blue, Dogo Hamidi na wengine kibao.

alisema kuwa tayari kazi imeisha anza na aliagiza Petit money adakwe na kushikwa na mamwela.

katika mkutano wake na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es salaam, Makonda alitaja list hiyo na sehemu za kula bata ambazo zinadaiwa kufanya biashara hiyo wakiwemo na askari 9.

hii ni vita dhidi ya Dawa za kulevya. alisema yupo tayari apoteze maisha, yupo tayari apoteze cheo chake ila atahakikisha anapigana na utumiaji wa dawa za kulevya kwa ajili ya vijana.Watuhumiwa


LilOmmyTV