Hii Hapa "Fast & Furious 8" Ni Trailer Na Tarehe Ya Kuachiwa.Wafuatiliaji wa movies na series mkisikia neno "Fast & Furious" hope kuna kitu mnakumbuka hapa right?, Ni miaka miwili sasa tangu kumalizika msimu wa saba wa filamu hiyo, wahusika walitangaza ujio wa msimu wa nane wenye mabdiliko na actions za kibabe,Macho na masikio ya wapenda muvi haswa waliiona "Fast n Furious" ni kuona na kusikia mzigo umedondoka sokoni, sasa basi kama upo kwenye orodha ya waliotamani kuiona goodnews zikufikie hapao ulipo kama mzigo upo tayari na utaingia sokoni mapema mwezi wa 4.

Cheki Hii Trailer Yake Hapa: