Enjoy Na Mdundo Mpya "All Eyes On Me" Kutoka Kwa Maino


Aliwahi kushika Chati mbalimbali na kujikusanyia mashabiki kibao mwaka 2009 alipoiachia "All The Above" ambayo aliungana na rapa mwenzake Faheem Rashad Najm (T Pain), Ni 2017 rapa "Maino" amedondosha "All Eyes On Me"


Isikilize Hapa Halafu Niambie Umeisikiaje.

Maino Ft. T-Pain - All The Above [Official Music Video] [HQ]