Davido Ampiga Chini Meneja Wake Kisha Kumrudia Meneja Wake Wa Zamani, Chanzo Hiki Hapa:


DAVIDO AMEMTIMUA Meneja wake KAMAL AJIBOYE na Kurudi kwa meneja wake wa zamani ASA ASIKA baada ya miaka 4, za chini ya maji zinasema kisa cha Davido kumswaga kamal ni TEKNO!
Video ya LilOmmyTV imekusogezea mzigo karibu yako.