Beyonce na Jay Z kupata watoto mapacha.
Beyonce na Jay Z wanategemea kupata watoto mapacha kwenye familia yao, Queen Bey ali-break the news kupitia page yake ya instagram. aliposti picha ya kuiambia dunia kuwa wanategemea watoto mapacha.


Miongoni mwa mastaa waliompongeza Beyonce na Jay Z ni pamoja na Rihanna, Nick Minaj na wengine kibao.LilOmmyTV