Young Dolph - Baller Alert (Official Video)

Agosti 11,1985alizaliwa  Adolph Thornton, Jr, maarufu kama Young Dolp, Jamaa ni rapa mmarekani, Mwezi kama huu yaani February 2016 aliachia albamu yake "King Of Memphis" ambayo ilifanikiwa kuingia kwenye chati za Billboard 200 ikishika namba 49. Pia alishirikishwa kwenye  ngoma "Cut it" ya O.T Genasis ambayo ilishika nafasi ya 35 kwenye Billboard Hot 100. 


O.T. Genasis "Cut It" Feat. Young Dolph (WSHH Exclusive - Official Music Video)Februari 2, mwaka huu Young Dolph amedodndosha Mixtape "GELATO" yenye jumla ya ngoma 14.
 Ball Alert ni ngoma namba mbili kwenye mixtape hiyo na imepata heshima kwa kuwa ngoma ya kwanza kufungua pazia la video za ngoma hizo.

Kwenye "Ball Alert" Dolph ameamua kuonyesha maisha yake halisi, Icheki hapa chini uone mnyamwezi anavyojiachia: