Baada Ya Tiwa Savage Huyu Hapa Mwanamuziki Mwingine Wa Mavin Records Anaejiunga RocNation


Mapema mwaka jana mwanadada Tiwatope Savage-Balogun "Tiwa Savage" alikua ni msanii wa kwanza kutokea Nigeria kusainiwa na Record Label "RocNation" inayomilikiwa na mtu mzimka Don Jazzy.

Kwenye mitandao ya kijamii na blogs mbali za Nigeria stori inayotrend ni kuhusu Roc Nation kumsaini mwanamuziki Iyanya ambae amejiunga na familia ya mavin miezi mitatau iliyopita.


Iyanya kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha yenye caption +Roc Nation  na moja ambayo ilikua na maelezo kuwa The Temple Company ambayo ndio wasimamizi wake wameungana na Roc Nation Kupiga deal kubwa la kimataifa.‘TMC and Mavin Records are focused on building bridges globally for the benefit of our talents. Both Companies’ primary objective is to continually maximise the opportunities in the African continent as well as explore and develop new frontiers across the globe. Strategic international partnerships are key in achieving these objectives aimed at raising the profile of Mavin’s talents and our other talents. As the world is a global village, we are positioned as global players in the industry in bridging all divides globally. We will provide a detailed press release in due course’. 

Amekaliliwa Manager wa Iyanya akiongea na vyombo vya habari vya Nigeria.

Iyanya  na Tiwa Savage wanaungana Roc Nation wakiwakilisha nchi ya Nigeria na Record Label moja yaani "Marvin Records".

YEMI ALADE PERFORMING FERRARI FIESTA 2016: