Ali Kiba amepokea tuzo yake rasmi baada ya Wizkid kuirudisha

Mwaka jana kulikuwa na stori kubwa iliyotrend sana kwenye mitandao baada ya MTV EMA kutangaza kuwa Ali Kiba aliongoza kwa kushinda na hivyo Wizkid alitakiwa kurudisha tuzo yake ya MTV EMA "Best African Act'

Yalitoka mapovu mengi sana kwenda kwa Wizkid mpaka kufikia point Ali akaamua kumposti Wizkid na kusema kuwa yeye na Wizkid hawana noma na anamkubali sana kama msanii, na kinachoendelea kwenye mitandao haelewi niaje niaje!


Ali Kiba ambaye kwa sasa yupo nchini Afrika Kusini kwenye ziara yake ya muziki, amepokea tuzo yake rasmi.

Tazama interview ya Lady Jay Dee kwenye THE PLAYLIST Times FM.