Adele agoma tuzo ya Grammy na kutaka Beyonce apewe

 

Kila Msanii ndoto yake kubwa ni kushinda tuzo nyingi za Grammy ambazo ni tuzo kubwa sana na zenye heshima ambazo hufanyika Marekani.

Msanii kutoka Uingereza, Adele aliongoza kwa kushinda kwenye tuzo hizo na Beyoncé alionekana kutisha Zaidi na show kali aliyopiga huku akiwa mjamzito!

Wakati Adele alivyotangazwa kwenda kupokea ttuzo ya Albumu Bora ya Mwaka '25' kwenye speech yakee Adele alisema kuwa hawezi kuipokea tuzo hiyo na kusema kuwa alistahili Beyoncé kupata tuzo ya Albamu Bora ya Mwaka 'Lemonade'

Speech hiyo iliyofanya Rihanna machhozi yamlego, Jay Z ambaye alikuwa kasimama pembeni ya mke wangu, Queen Bey nae machozi kumlenga huku Beyoncé alishindwa kujizui na kuangusha kichozi kidogo na speech ya Adele kuwafaya watu kibao ukumbini kusikiliza kwa makini na kufatilia neon hadi neon kwa kile ambacho hawakutegemea.