Wizkid atoa Povu TwitterStar Boy, msanii mkali kutoka Africa pande za Nigeria Daddy Yo ametoa povu kwenye account yake ya Twitter kwa kusema kuwa hana tena time ya kusaidia saidia! 

baada ya muda comments kibao zilidondoka kutoka kwa mashabiki na watu wanao-mfollow Wizkid kwa kuhisi kuwa kama amezinguliwa hivi na mtu!


Godzilla nae ali gonga commen, icheki hapo chini.
Bado haijajulikana kama Wizkid ana promote ngoma mpya au niaje kutokana na tweet hii.
au kuna mtu kamkata akaamua kwenda twitter kumwaga povu! Wizkid aliendelea ku-tweet, na tweet ingine iliyoleta noma nii hapa alivosema No Bad Vibe, hazimii mikato ya kuboa.Subscribe to LilOmmyTV on YouTube uwe wa kwanza kupata madini ya kijanja.
  VIDEO: Tazama interview ya Belle 9 kwenye THE PLAYLIST. haielewi kabisa couple ya Kim K na Kanye West, awakubali mama yake na baba yake kama best couple kwake. asimulia alivyotoswa na demu kabla hajawa Star! azungumzia Give it to me ilivompeleka. Bebe mama wake anavyomind akijiachia na Video Queen kwenye chupa zake.