Wema Sepetu amerudi kusumbua tena Instagram kwa Kishindo! afute picha zote na kuanza upya,Muigizaji maarufu TZ anaesumbua matozi na vibosile hapa town ambaye pia ni Miss Tanzania mwaka 2006 Wema Sepetu amerudi tena kusumbua instagram kwa kishindo baada ya kukaa kimya kwa muda,

Sepetu alizi delete picha zake zote za nyuma na kuanza fresh kwenye ukurasa wake wa IG, Jan 27, Siku ya Ijumaa kitu cha Friday nini, Sepenga alianza na post hii ya kwanza na kuwaahidi mashabiki zake kuwa wategemee mambo mazuri makubwa mwaka huu.

kutoka instagram @wemasepetuHii ni post ingine ya pili aliyoiposti Siku ya Jumamosi Jan 28 kutoka instagram @wemasepetu

 

instagram kuna raha yake jamani... post ingine ya wema aliyoashiria kuwa alimiss sana kuwa instagramuni.

post ingine ya 4.


Wema ana followers kibao wanaofika million mbili nukta dala 2.5 M na amefollow watu 500 tu,

unahisi anakuja na nini mwaka huu? 

 


Tazama interview ya Diamond Platnumz kwenye The Playlist Times FM.