TREY SONGZ Azimiwa Mic Kama ALI KIBA! Asababisha Vurugu Jukwaani


Kwenye Show iliyofahamika kama 'The Big Show at The Joe' huko Detroit, Marekani. Msanii wa RNB Trey Songz alionekana kufanya vurugu sana na alivunja kila kilichokuwa mbele yake kama spika na vitu vingine, kuna Polisi Mmoja ilidaiwa alijeruhiwa Vibaya na vitu hivyo na kuwahishwa Hospitali, taarifa ni kwamba polisi huyo anaendelea vizuri. Trey Songz alizimiwa Mic na Security kwenye show hiyo na ndiyo kisa cha yote hayo kutokea, kwa mujibu wa taarifa.

Alidakwa na Polisi kwa kosa la Kusababisha Maumivu na Kuvunja Vitu

Subscribe, Watch, Share.