Izzo B kumtambulisha ABELA kwao Mbeya, amzungumzia Shaa, Master Jay, Ngwair na mastori kibao

Hii ndio ilikuwa Show ya Mwisho ya THE PLAYLIST kwa mwaka 2016, ilifanyika LIVE nje ya Studio TSN Bamaga tarehe 17, 2016

The Amazing walishuka kubonyeza ngoma wanazozikubali na mastori kibao.

THE PLAYLIST ni Show kali ya weekend inayowashusha mastaa kibao ndani ya Studio za 100.5 TimesFM kuchagua ngoma 5 kali wanazopenda na kupiga interview kuhusu Music, Fashion & LifeStyle.

Show inaruka kila Jumamosi, Saa 6 - 8 Mchana kupitia frequency 100.5 Times FM chini ya Presenter Mkali, the Baddest boi, Lil Ommy.

Subscribe, Watch, Share.