SALAMA JABIR Kuhusu kusimama kwa Show Ya Mkasi, kukosoa Video za Bongo, AY, FA, Sallam, Madam RitaHii ndo list ya ngoma 5 kali alizochagua Salama kwenye The Playlist, Aug 20. 2016

1. Malome - Cassper Nyovest ft Mahotela Queens
2. Love on the brain - Rihanna
3. Messing Around - Pitbull x Enrique Iglesias
4. Me Myself & I - G Eazy x Bebe Rexha
5. Inde - Dully Sykes x Harmonize

The Playlist ni kila Jumamosi Kuanzia Saa 6 hadi Saa 8 mchana kupitia 100.5 Times FM na Omari Tambwe (Lil Ommy).

Star wako anashuka kubonyeza ngoma 5 kali anazozikubali na mastori kibao. info zaidi follow @LilOmmy kwenye instagram na twitter na make sure una SUBSCRIBE channel hii ili uwe wa kwanza kunasa interviews zote za kibabe. #thePlaylist #TimesFM 100.5