The Playlist Inarudi.. Kaa Karibu Na 100.5 FM Jumamosi Hii.


Are you ready kwa Uzinduzi wa THE PLAY▶LIST New Season | Msimu Mpya 2017 toboa kiburudani Show la Kibabe limerudi ku-disturb ma airwaves.
Guess what! Jumamosi hii wanashuka mastaa kibao #AllStars waliobonyeza ngoma 5 Season zilizopita kuzindua Show la kibabe ndani ya Times FM Lounge kuanzia Saa 6 hadi Saa 8 mchana.

Kutakua na VIP treament zile 🍸 Drinks #Cocktail kutoka 🍾 #JackDaniels @makjuice_tz Bites, Nuts 🍢 and Stuff. Show itaruka LiVE kama kawa kwa reviews za kinyama.


Tegesha 100.5 @timesfmtz mnyamwezi @LilOmmy akuletee nomaa kwa m.i.c 🎙
#thePLAYlist #2017toboaKiburudani

INTERVIEW KWENYE THE PLAYLIST NA "THE AMZING" (IZZO BUSINESS NA ABELA):