Tegemea Kumsikia Big Sean Kwenye Headlines Baada Ya Februari 3


Rapa Big Sean yupo mbioni kuiachia "I Decided" Albamu yake mpya ambayo inakuja kukamilisha utajiri wa Albamu nne kwa rapa huyo.

 Vitu vya msingi ambavyo Big Sean ameweka wazi kwa mashabiki zake ni idadi ya ngoma Artwork pamoja na Colabo na wasanii wengine wakiwemo Emine, Migos,Jhené Aiko,Jeremih, Twenty88, Flint Chozen & Starrah.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram Big Sean ameianika Tracklist ya Albamu hiyo yenye jumla ya ngoma kumi na nne (14) inatarajiwa kuingizwa sokoni Februari 3 mwaka huu.

 1. Intro
 2. Light f. Jeremih
 3. Bounce Back
 4. No Favors f. Eminem
 5. Jump Out the Window
 6. Moves
 7. Same Time Pt. 1 f. TWENTY88
 8. Owe Me
 9. Halfway Off the Balcony
 10. Voices in my Head/Stick to the Plan
 11. Sunday Morning Jetpack f. The-Dream
 12. Inspire Me
 13. Sacrifices f. Migos
 14. Bigger Than Me f. Flint Chozen Choir and Starrah