Nicki Minaj na Lil Wayne kwenye Ngoma Mpya.


Sio mara ya kwanza kwa Nick Minaj na Lil Ommy kusikika kwenye ngoma moja, Producer Mkubwa kutoka France David Guetta amefanya mpango wa kuwakutanisha tena Minaj na Wayne kwenye Ngoma mpya itakayotoka soon ikiwa chini ya Project za Guetta.

kwenye interview aliyofanya kupitia mtandao wa Facebook (via HHNM), Guetta alisema kuwa.

“My next single is featuring Nicki Minaj and Lil Wayne,” he said. “This is exclusive. I’ve never said this.” 

“We have a really good combination with Nicki,” said Guetta. “Every time we make records, they’re really incredible and very successful. I think she’s very, very special and we work really good together so it’s exciting. Plus, we have Lil Wayne on top of that. It’s pretty big.”


Nick Minaj na David Guetta walishawahi kupiga mikono kama  “Turn Me On,” “Where Them Girls At,” and “Hey Mama” na ngoma zote hizo kufanya poa kwenye chart Top 15 on the Hot 100.

Weezy pia alishawahi kupiga mikono na David Guetta pamoja na Chris Brown  “I Can Only Imagine” na “Revolver.” Madonna


tusikilizie mkono huu tuone umekaaje.


Tazama interview ya Ommy Dimpoz kwenye The Playlist Times FM.

Part 1 


Part 2