Diamond amjibu mapigo Idris Sultan kwenye Birthday yake!Star mkali wa Muziki wa Bongo Fleva na Bosi wa lebo ya WCB Chibu Dangote aka Simba Diamond Platnumz amjibu Idris Sultan mapigo kwa kumtakia heri ya siku yake ya kuzawali kwa style ambayo Idris huwa anatumia kuwatakia mastaa wenzake.

kwa kawaida Idris huwa anapsoti picha instagram za wapenzi wa mastaa wenzake kuwa wish happy birthday lakini caption inakuwa ni ya Star husika mwenye birthday yake siku hiyo na kumtag. 
  
Sasa January 28 ilikuwa ni Birthday ya Idris Sultan, Comedia wa Bongo na Mshindi wa Big Brother HotShots. Diamond alitumia style ile ile ambayo Idris anaitumia siku zote kumtakia birthday.


Diamond aliposti picha ya Linah na kumtakia Birthday Idris Sultan, Kumbuka hapo nyuma kidogo kulikuwa na stori za chini chini kuwa Idris na Linah wana-date na walikuwa karibu sana mpaka kupiga project kadhaa.


VIDEO: Tazama interviews za Diamond Pltanumz na Idris Sultan kwenye THE PLAYLIST.


VIDEO: IDRIS SULTAN